WAY

Wednesday, November 7, 2012

ROSE NDAUKA APANIA KUWAINUA UNDERGROUND KATIKA FILAMU KUWAPA MAFUNZO ILI KUPATA WALIOBORA ZAIDI,SASA KUFANYA KAZI CHINI YA MANAGEMENT,afunguka asema skendo ya kubakwa ilimnyima usingizi

MSANII wa kike mwenye nyota ya kupendwa kutokana ka kazi yake ya filamu ambae kwa mwaka 2012 ni mwaka mzuri kwake kwa kutoandamwa na skendo za ajabu ajabu na hii kwa mujibu wake ni kutokana na kujiheshimu amesema amepania kuwaibua maunderground katika filamu ambao wengi wao wanalalamika kuwa hawapati ushirikiano kutoka kwawasanii wakubwa ambao tayari yameshalikamata soko la filamu nchin na kusema kuna wasanii kama miungu watu
Lakini ROSE NDAUKA wakati akiongea kwa njia ya simu na blog hii ya g mbongo amesema kwa sasa anfanya kazi chini ya management ambayo itakua inamsimamia kazi zake lakini pai yeye kama rose ambae pia alisota pia mpaka kufikia alipofikia ameamua kuchukua wasanii chipukizi kama 30 ambao atakua anawatoa mmoja baada ya mwingine.
                                          ROSE NDAUKA
ROSE ambae pia katika maisha yake ya uigizaji na usuperstar ambae anasema moja kati ya skendo zilizomkosesha raha sana ni kuambia amelewa mpka amebakwa wakati muandishi wa habari hizo hakuana na uhakika vile vile siku hiyo alikua anaumwa pia

ROSE NDAUKA
ROSE amesema chini ya kampuni yake mpya kwa sasa ana mpango wa kuanza kuandaa movies zake mwenyewe na kuwatumia underground ambao watakua na uwezo huku akisisitiza pindipo underground watajitambuabasi kupitia kwake watatoka na kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi huku akisistiza kwa wale upcoming artist lazima wajielewe na kazi wanayotakakufanya wasichukulie tasnia ya filamu ni kama sehemu ya upotezea muda basi wanajidanganya ila kazi nzuri ndio itawatambulisha wao.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...