WAY

Friday, November 23, 2012

SUPER NYAMWELA KUGEUKIA UIMBAJI NA UTUNGAJI NDANI YA EXTRA BOGNO MBIONI KUANDAA ALBUM YAKE YA TATU,AKAMILISHA MOJA AKIMSHIRIKISHA AMINI,ASEMA KAMWE HATOACHA KUCHEZA SHOW

MKALI wa show tanzania ambaye pia ni mkongwe aliewahi kushika ubingwa mbalimbali wa taifa na africa mashariki ambae maesema kwa sasa nageukia uimbaji rasmi baada ya kufanya kazi ya kucheza show kwa muda mrefu sasa ameamukugeukia uimbaji rasmi hasa wa band ambapo kwa sasa atakua muimbaji rasmi wa extra bongo ambapo kwa sasa ameshaweka wimbo wake ndani ya album ambayo imekishwa kamilika ya MTENDA AKITENDEWA.
                                      SUPER NYAMWELA NDANI YA EXTRA BONGO
AMESEMA licha ya album zake mbili zilizopita ambazo zilikua kiafrica zaidi kufanya vizuri zaidi lakini amsema safari hii atachanganya bongoflever na muziki wa kiafrica ambao itakua ni morden zaidi na ataweza kuuza kimataifa zaidi na kusema ameamua kufanya na wanamuziki wa bongo flever illi kupanua wigo kwa mashabiki wake. 
AIDHA NYAMWELA amesema kwa sasa wacheza show wanathaminika zaidi kushinda zamani ambapo kazi hiyo ilionekana kama ya watu waliokosa kazi lakini amesema kwa kuna wacheza show wamewazidi hadi waimbaji na wapiga vyombo vile vile kwa kuwa watu wameanza kuelewa kazi wanaoifanya na kusema kwa sasa wanapewa kipaumbele kwa kuwa bila wao kazi haiwezi kwenda vizuri

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...