WAY

Thursday, November 22, 2012

DOGO RAMA MBIONI KUANDAA ALBUM YAKE YA PILI AMBAYO NDANI YAKE ATAMSHIRIKISHA JUMA NATURE,ISHA MASHAUZI,NYOSHI EL-SADAAT ASEMA NI ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE ASEMA TWANGA PEPETA NIKISIMA CHA BURUDANI NA HAITETEREKI HATA IWEJE

Msanii aliekuja kwa ksai sana katika chati za musiki wa dansi na mwimbaji wa twanga pepeta DOGO RAMA a.k.a. KING RAMA a.k.a VUALLA asema kwa mwka ujayo tayari amekwisha anza matayarisho ya nyimob tatu ambazo zipo tayari huku moja akiwa amekwisha irekodi kabisa na na sasa akiwa katika mchakato wa kuzitengenza nyingine mbili ambazo alizitaja nyimbo zilizokua tayari ni CHUKI BILA SABABU,NDIVYO NILIVYO NA UMASIKINI WANGU ambazo tayari zimekwisha kamailika lakini kwa sasa akiangalia uwezekani wa kutafuta wasanii ambao ametaka waingie katika album yake ili kuleta ladha tofauti tofauti.
DOGO rama emeongeza kuwa kwa sasa anafikilia zaidi kuzifunika nyimbo zake mbili kwenye album yake ya kilometa 10000 ikiwamo kilometa yenyewe pamoja SIRI YA MAPENZI na kusema kwa sasa kutokana na kubadilika kwa muziki hawezi kutengeneza album ya rhumba tupu kama ya kwanza atachanganya abmapo na sebene zitakuwepo ambazo atarap yeye mwenyewe.
                                        DOGO RAMA KAZINI
Akizungumzia kuondoka kwa MUUMINI MWINJUMA amesema ni kama hakuna kililchotoka ingawa wimbo alioondoka nao ulikua ni mzuri sana lakini kwa sasa kampuni imempa majukumu yeye kuweza kuandika wimbo mwingine ambao utakuwemo kwenye album yao ijayo ambayo inaweza kupewa jina la SHAMBA LA TWANGA AU NYUMBANI NI NYUMBANI
 PIA dogo rama amezungumzia kuhusiana na nyimbo nyange nyingi kulenga swala la chuki ni kutookana na watanzaniqa wengi kwa sasa wameandwamwa na chuki zisizo na sababu wala msingi wowote na ndio maana ameweza kuzingumzia chuki huku akiongeza pia chuki smtime zinaleta changmoto ya mtu kufanya vizuri zaidi ingawa si vizuri kuchukiana

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...