WAY

Tuesday, November 6, 2012

DIAMOND MUSICA YAPANGALANYIKA YABAKI JINA NA NYIMBO TU WANAMUZIKI WAKE WATAWANYIKA ILA NYIMBO ZAO MPYA BADO ZATIKISA MAREDIOENI, je wataweza kuridi kama zamani au ndio kwisha habari yao!?

BAND ambayo ilitikisa sana na wimbo kama MAPENZI KITU GANI ambpo kwa sasa band hiyo imebaki story  ambayo inaongozwa na msanii wa siku nyingi katika muziki wa dasni ALAIN MULIMBA KASHAMA a.k.a MSTAHIKI MEYA WA JIJI kwa mujibu wa lain kuwa dimaond jina bado lipo na itaendelea kuwepo kwa kuwa waanznlishi wa band hiyo bado wapo ila kwa sasa hawana uongozi ambao unaweza kuwasimamia kazi zao kutokana na tajiri alieichukua band hiyo baabda ya aliekua mkurugenzi wa band hiyo P.DIDY kufarikibasi toka kipindi hicho band hiyo inasusa sua ingawa mpka sasa wanakaribia kumaliza album yao ambayo tayari walishaipa jina la SUPU YA KONGORO,ABDULKARIM,ACHA KULIA,NA KIBINDA NKOI REMIX lakini hawana sehemu yoyote ya kupiga show zao.

Akizugnumza na blog hii ALAIN MULUMBA amesema kwa sasa wamebaki wanne tu kaitka band hiyo ambao ni YEYE ALAIN MULUMBA,JUICE YA MACHUNGWA,KATANYAMA,NA ERCI CANTONA MGOGO WA MAZIZINI,
lakini nilivyomtafuta ERIC CANTONA yeye aliisema hayupo tena DIMAOND MUSICA kwa
                          ALLAIN MULUMBA KASHAMA MSTAHIKI MEYA WA JIJI
                                                         JUICE YA MACHUNGWA
kuwa mkataba wakeumeisha hivyo si mwanamuziki wa band hiyo ila mpka hapo watakapomwita na kuingia mkataba mwingine lakini kwa sana anafanya kazi zake binafsi nje ambapo yupo njiani kutoa album yake binafsi ambayo ameipa jina la MBUZI ANACHEZA KIDUKU,

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...