WAY

Thursday, November 29, 2012

MENEJA AKUDO IMPACTI AFUNGUKA ASEMA AKUDO BADO IPO NA CRISTIAN BELLA BAD NI MWANAMUZIKI WA AKUDO ILA YUPO MAPUMZIKONI TU NA HIVI KARIBUNI KUIZINDUA ALBUM YAO YA HISTORY NO CHANGE WAONGEZA SAFU YA WAIMBAJI KUTOKA KONGO

BAADA ya tetesi za muda mrefu za chinichini kuwa akudo impact inaelekea kugawanyika habari za kuaminika kutoka katika uongozi wa band ambapo nimezungumza na meneja wa akudo impact RAMA AKUDO ambae amefunga kuhusiana na mustakabali mzima wa akudo impact na kusema wanoitakua mabaya akudo wameshindwa kwani wao wanazidi kusonga mbele na wamechelewa kutoa album kutokana na kuwa katika maandalizi ya kufanya wimbo ambao umeibwa na wanamuziki wapya wa akudo ambapo wimbo huo utakuwepo ndani ya album ya akudo impact.

Akizungumza na blog hii na kipindi cha EXTRA AFRICA rama alisema kuna watu wengi wanaongea mengi kuhusu akudo lakini ukweli ni kwamba akudo bado inapiga sow katika kumbi tofauti na bado inajaza watu  vile vile na tayari wako mbioni kutoa album yao ya history no change ambayo wanasema ni album ya ukweli sana yenye nyimbo zilizokwenda shule.
KUHUSIANA na band kuwa na wanamuziki wengi wa kongo alisema sio kwamba wanapenda wao ila uhalisia wabongo wengi wanaogopa kujiunga na AKUDO kutokana na vipaji viliyopo hapo ambapo ambpo kuna masauti sana ukimuangalia cristia bella.tarsis masela,alain kabasele ni watu tosha ambao wanaweza kumfanya mtu agope ndio maana wanenda kuchukua viaji kongo kuweza kuongeza utamu zadi na saivi safu ya ishakalilika kabisa

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...