WAY

Monday, November 12, 2012

MSANII WA FILAMU ZA KITANZANIA AKIWA BADO KITANDANI KWA MATIBABU ZAIDI NISHA ASIMULIA KISA NA MKASA WA AJALI ILIVYOMTOKEA ASEMA ANAMSHURU MUNGU MPAKA KWA HALI YAKE SASA

Msanii alieibuka kwa kasi katika tasnia ya filamu asimulia kinagaubaga jalai iliyomtokea majuzi wakati akitoka location na kusema kuwa kabla ya kupata ajali alikua mzima bukheri kabisa na laiweza kufanya kazi zake zote locationa mpaka misa ya saa saba za usiku sasa wakati nanarudi nyumbani anasema alifika sehemu alijisikia kizunguzungu na kuona kiza baada ya hapo ndipo aliposhtukia akiingia polina na gari kupinduka na kupata ajali hiyo
nisha amesema hataki kulihusisha tukio hilo na kitu chochote bali ni mipango ya mwenyezi mungu tu ndio imeweza kumfika ajali hiyo na amesema kwa sasa hali yake si nzuri sana hivyo anaomba watanzania wamuombee ili aweze kupona haraka na aweze kurejea katika shughuli zake kama kawaida
                                                  GET WELL SOON NISHA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...