WAY

Tuesday, November 20, 2012

MUUMINI MWINJUA AICHA RASMI TWANGA PEPETA NA ATUA RASMI KWENYE BAND YA VICTORIA SOUND JE ATAIINUA!? LUIZA ASEMA MASKINI HANA KIAPO ALISEMA UZEE WAKE ATAUMALIZIA TWANGA ILA AMPKA BARAKA TELE AENDAKO JE MUUMINI ATARUDI KAMA ENZI ZA DOUBLE M!?

Kocha wa dunia ndio jina ambalo anapenda kujiita hivi karibu niliongea nae na akasema anataka kuonyesha ukocha wake kwa kufanya album ya taarabu lakini siku si nyingi baada ya kuongea nae jana RASMI AMEIVUA MIKOBA YA TWANGA PEPETA na kutua band ya VICTORIA SOUND ambayo atasiamama nayo kwa sasa katika muziki wa dansi huku akisema ni uamuzi tu ndio ulimuondoa twanga pepeta na utafutaji wa maisha na si vingine.
muumini amesema kwa anaitazam zaidi VICTORIA SOUND na kazi nyingine za kimuziki zilizopo mbele yake.
 akuzungumza na mimi kiongozi wa wanga pepeta akimnukuu MUUMINI WAKATI AKIHAMIA TWANGA ansema alisema kuwa amehangaika sana kimuziki na sasa ameamua kumalzia mziki wake akiwa na band ya twanga pepeta na ndio njia aliyoingilia kupata kazi ndani ya twanga pepeta ambayo hata mkurugenzi wa band asha baraka aliamini hilo huku luiza akimalizia kwa usemi usemao kuwa hakukumbuka kuwa wakati anasema msemo huo kumbe kuna kauli inasema MASIKINI HANA KIAPO.
kw mujibu wa luiza mbutu anasema muumini kaondoka kwa hiyari yake na wla hakuna mikwaruzano yoyote ndani ya uongozi ni katika kujitafutia riziki zaidi kwa hata nyimbo ambayo aliindaa kwa ajili ya labu ijayo ya kumi na mbili haitakuwepo tena kwa sababu bado hawajairekodi ndio maana!
                                MUUMINI MWINJUMA KAZINI WAKTI WA TWANGA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...