WAY

Friday, November 30, 2012

MSAKO WA POLISI WAKISADIANA NA WANANCHI SONGA KIBAONI WASAIDIA KUVIPATA VITU VYA MAREHEMU HUSSEIN MKIETI a.k.a SHAROMILIONEA IKIWEMO SIMU NA VITU VINGINE AMBAVYO VILIIBIWA BAADA YA AJALI

BAADA ya watu wasio na  huruma ambao walishindwa kutoa msaada kwa marehemu sharomilionea katika kumuokoa na kuona ni bora vitu alivyokua navyo wakavichukua lakini baada ya uchunguzi wa polisi kwa kushirikiaana na wananchi na kuweza kupitisha msako mkali baadhi ya vitu vilivyochukuliwa katika tukio hilo vimepatikana.
AKIONGEA kwa njia ya simu na blog hii aliekua rafiki wa karibu wa sharo milionea KITALE amevitaja vitu vya marehemu vilivyopatikana ni pamoja na SPEAR TYERE,RADIO YA GARI,BETRI YA GARI,SAA YA MKONONI,na pia kwa masaada ya jeshi la polisi uliweza kusaidia kupatikana kwa simu yake ya mkononi ya SHAROMILIONEA 
huku  vitu vingine ikwemo SURUALI AINA YA JINSI NA T-SHIRT YAKE BADO HAVIJAWEZA KUPATIKANA  na polisi  jijini tanga wanaendelea na msako wa kuvikamata vitu vingine vilivyopotea katika eneno la tukio

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...