WAY

Friday, November 2, 2012

BATULI ASEMA WA KWENYE U MISS WABAKI KWENYE U MISS NA WAKWENYE MUZIKI WA BAKI KWENYE MUZIKI ASEMA KUNA BAADHI YA WALIOTOKA SEHEMU TASNIA TOFAUTI NA FILAMU NDIO WANAOHARIBU TASNIA HIYO ASEMA YEYE KARIBU MIAKA KUMI KWENYE GAME HAJAKUTANA NA SKENDO ZA AJABUAJABU

BATULI ni moja ya wanadada wa siku nyingi sana katika tasnia ya filamu na maigizo  bongo ambae kwa sasa akiwa anaingiza nyingi sokoni akiwa ameshirikishwa moja wapo ikiwa FUNGATE aliyoshirikishwa na CLOUD 112 na ingine ya GET OUT aliyoshirikishwa na SINTA pamoja na STIVE NYERERE na nyingine kibao ambazo kwa mujibu wa yeye kuwa akishamaliza mkataba naancha wamalizie wenye movie ye akiendelea na  kufanya kazi zingine.
                                                     BATULI KATIKA POZI
Akizungumzia kuhusiana na tasnia ya filamu kutawaliwa na SKENDO sizizo za msingi na watu kuwamini kuwa skendo zinauza kwanza anaanza kuwashukia mamiss na kusema kuwa mtu alikotoka fani yake mwenyewe inamdhalilisha sasa akija kwenye tasnia ya filmu yale aliyoyafanya kule kwenye tasnia yake yote anayahamishia kaika filamu na kusisitiza kwa sasa itabidi iangaliwe vizuri sio kila miss au mwana muziki anaweza kufanya filamu sasa vitafutwe vipaji halisi sio ionekane tasnia ya filamu ni seheme ya kukimbilia kutafutia maslahi yao na njaa zao
PIA amesema makosa mengi katika filamu yanatokana na hata wao wasanii hawajui kwa kuwa katika final wanakua hawapo kwa kuwa tayari wanakua washamalizana na producer na hakuna ile tabia ya pre launch kwa hiyo hiyo inafanya stym vitu kama subtitle na mambo mengine yanajitokeza,
                                         BATULI NA REY
Ameongeza kusema kuwa kwa siku za usoni yuko mbioni kufanya kazi mwenyew zitakua na mambo yote hayo pamoja na kuwashirikisha watu kabla haijatoka.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...