
MASHUJAA
BAND a.k.a Wazee wa KIBEGA, wanakuletea uzinduzi wa album yao ya pili
ya RISASI KIDOLE wakiwa na mwanamuzi gwiji kutoka jamhuri ya
kidemokrasia ya kongo si mwingine bali ni JB MPIANA akiwa na kundi zima
la WENGE BCBG leo siku ya ijumaa katika viwanja vya LEADERS CLUB kuanzia
saa 2 usiku. Ni siku ambayo mpenzi wa muziki wa dansi hutaisahau
kwani JB MPIANA ameapa...