...
Sunday, September 30, 2012
SHILOLE NA AUNT EZEKIEL WAFANYA BALAA KUBWA NDANI YA MAKONDE BEACH CLUB ILIKUA BONGE MOJA YA SHOW
SHOW ILIANZA KAMA MIDA YA SAAA SITA HIVI HEBU CHEKI PICHA ZA SHOW HIYO ILIVYOKUA
HII NI BAADA YA SHOW KA...
Friday, September 28, 2012
SHILOLE,AUNT EZEKIEL KUITIKISA MTWARA LEO NDANI YA MAKONDE BEACH CLUB

MWANADADA anayetikisa katika game la filamu na kwa sasa nikatika music SHILOLE akisindikizwa na mwanadada nguli katika filamu AUNT EZEKIEL watakapo shikana pamoja na kupanda jukwaa moja kwa ajili ya kuwaburudishi wakazi wa mtwara na vitongoji vyake hii leo na ikumbukwe hii ni mara ya kwanza kwa msani wa filamu shilole kufanya show mkoani peke yake na kwa kujitegemea lakini...
MISS DODOMA APONDA WAREMBO WANAOKIMBILIA BONGO MOVIE! ASEMA SANAA HIYO ISHAPOTEZA MUELEKEO

Aliyekuwa
anashikilia taji la Miss Dodoma na Miss Kanda ya kati mwaka 2009 -2010 Jackline
Nitwa amesema hana mpango wa kuingia katika tasnia ya filamu nchini kwa kile
kinachodaiwa tasnia hiyo inapoteza muelekeo
Anadai
kuwa tasnia hiyo imekuwa ikiingiliwa na baadhi ya warembo huku wakiwa na dhana
ya kufanya vizuri wakati hawana hata muelekeo wa kipaji cha kuwa...

ROSE NDAUKA AJA NA FILAMU MBILI KWA MPIGO!
MSANII
mahiri anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu bongo Rose Ndauka, asema kuwa
baada ya kuwa kambini kwa muda mrefu akitengeneza kazi ambazo awali alizitaja
sasa zimekamilika na Octoba zinaenda sokoni ambazo ni ‘Upofu’ na ‘Special
Cover’ huku zote zikiwa zimefanyika chini ya kampuni yake inayojulikana kama
Ndauka...
Thursday, September 27, 2012
CHALZ BABA AFUNGUKA KUHUSINA NA YALIYOANDIKWA NA GAZETI LA AMANI ETI ANATAKA KUMUOA LULU ASEMA NI UZUSHI MTUPU WANAZINGUA SANA WALA HAJUI WAMETOA WAPI MAGAZETI BWANA

MSANII NGULI wa muziki wa dansi ambae pia ndio RASI WA MASHUJAA BAND, CHALZ BABA KINGUNGE a.k.a FERNANDO TORESS amesema ameshangazwa na kilichoandikwa leo na gazeto moja la udaku la amani eti kua anataka kumuoa lulu na tayari ameshakwenda kwa mzee michael kuongea nae na kusema habri hizo ni za uongo na za upotoshaji ila kwa kuwa wameamua kuandika sawa
...
SINGLE MTAMBALIKE a.k.a RICH RICH ASEMA ANACHUKIA SANA KUTENGENEZA STORY ZA ONE AND TWO ILA SOKO LIMEWALAZIMU LAKINI PIA AWAONYA WASANII WANAODHANI USANII NI KUUZA SURA KWA KUWA NI MZURI BASI UINGIE KWENYE FILAMU AAPA MWISHO WAO UNAKARIBIA KWA WALE WABABISHAJI WA SANAA MBIONI KUACHIA MOIVES YAKE MPYA YA UYOGA AKIWA NA MONALISA

MSANII wa siku nyingi katika tasnia ya filamu RICH RICH a.k.a SINGLE MTAMBALIKE amefunguka na kusema yeye ndie msanii wa kwanza kutokupenda stykle ya movies za sasa za one and two kwa kuwa kuna story nyingine haziitaji hata party 2 na matokeo yake maproducer wanakata story wakati kiukweli inavotakiwa story kama ni party one n 2 ziwe zinatofautina ili akiwa na...
Tuesday, September 25, 2012
MAPENZI YA WASANII WA BONGO FLEVER NA BONGO MOVIES YAZIDI SHAMIRI NA SASA NI ZAMU YA JINI KABULA NA BUSHOKE, JINI KABULA AWEKA WAZI KWANINI INAKUA HIVO JE NI KUIGANA AU INATOKEA TU

MSANII wa bongo filamu mwenye vituko vingi na ambae pia anatikisa sana katika ulimwengu wa tamthilia JINI KABULA kaweka wazi mahusiano yake na mwanamuzki wa kizazi kipya RUTHA BUSHOKE na kusema ni kweli ni boyfriend wake,
na nilipomuu;liza kwanini wasanii wengi wa mastar wanatoka wao kwa wao aksema hiyo huwa inatokea kwa sababu watu wengi wa kawaida huwa wanawaogopa mastar...
Monday, September 24, 2012
WAKATI MAPENZI KATI YA WASANII WA BONGO FLEVER YAKISHAMIRI WEMA NA DIAMOND,FROLAH MVUNGI NA H.BABA SASA NI AMANDA NA BWANA MISOSI

Akizungumza na blog hii msanii wa filamu wa kike anaetikisa kwa sasa katika tasnia hiyo AMANDA POSHY ambae ni mtoto wa kambo wa dotnata ameweka wazi mahusiano yake na msanii wa mwenzake wa midondoko ya bongo flever ambae kwa sasa nae anajiingiza katika filamu JOSEPH a.k.a BWANA MISOSI nakusema kwa sasa wao no wapenzi.
BAADA ya kumuuliza je mapnzi yao ni yale ya kutafutiana...
FROLAH MVUNGI AFUNGA ASEMA KWA SASA HANA BIFU NA YOYTE NI ILIKUA MIGONGANO YA KAWAIDA YA BINADAAMU YEYE NA IRENE NA SASA YAMEISHA KUINGIZA FILAMU MBILI WA MPIGO SOKONI MOJA IKIITWA MAMA WA KAMBO NA NYINGINE IKIITWA MAMA WA KAMBO NA NYINGINE NI BUJORA

Msanii wa filamu anaetikisa kwa sasa FLORAH MVUNGI amefunguka na kuhusiana na kwamba yeye bado ana bifu na msanii mwenzake wa IRENE UWOYA na kusema hayo yalishaisha walishaketi na kumalizana na sasa ni marafiki wa kawaida na ile ilikua ni migongano ya kawaida na kwasasa kazi zinaendela kama kawaida na pia katoka ufafanuzi kuhusiana na kaka yake DUDE ambae nakiri ndie alimtoa...
Saturday, September 22, 2012
SHINDANO LA KUTAFUTA VIPAJI TOFAUTI NDANI YA MTWARA LIMEFANYIKA LEO NDANI YA MAKONDE BEACH CLUB AMBAPO MCHUJO WA KWANZA UMEPITA WA KUPATA WALE WATAKAOCHUANA TENA WIKI IJAYO KUPATA MSHINDI WA KUTANGAZA,KUIMBA NA KUCHEZA

BAADHI YA WASHIRIKI WA KUSAKA VIPAJI NDANI YA MKOA WA KUSINI ILIYPEPWA JINA LA SAFARI TALENT SEARCH
...
Thursday, September 20, 2012
BEN BLANCO MSANII ALIEFANYA MOVIES NYINGI NA KANUMBA ASEMA YUKO MBIONI KUZIFANYA MOVIES KWA AJILI YA KUMUENZI RAFIKI YAKE ALIA NA MADISTRIBUTER KWA KUWALALIA KATIKA KAZI ZAO AAMINI KAZI NDIO INAFANYA MTU AWE MAARUFU SIO SKENDO
MSANII wa siku nyingi katika tasnia ya filamu ambae alianzia katika vikundi ambae kwa mara ya mwisho alitokea pale KAOLE SANAA GROUP,, BENI BLANCO ndie msanii alifanya mvie nyingi na msaanii nguli wa aliepotea katika ulimwengu kwa majozni makubwa na utata ambao hadi leo unasubiri kutatuliwa je ni kipi hasa kilichotokea,lakini yoyte ya yote msanii huyo amesema kwa kuwa alilopanga mungu kamwe mja huwezi kulipinga basi yaliyopita si ndwele tugange...
Wednesday, September 19, 2012
MJUE MWANAMUZIKI ALIENZIA KUCHEZA SHOW NA SASA AGEUKIA UIMBAJI NI MWANADADA TOKA TWANGA PEPETA NAE ATOKA KIVYAKE AACHIA NGOMA KALI AKIMSHIRIKISHA CHID BENZ AKIITA USINIACHE YEYE ASEMA ANAFANYA KWA AJILI YA MASHABIKUI NA KUUPENDA MZIKI NYINGINE BADO ZIPO JIKONI

MWANADADA ambae alianzia tasnia ya muziki kwenye kucheza show miaka ya tisini na baadae kugeukia muziki huo ambapo kwa sasa anaimba na bad ya twanga pepeta huyu ni JANET ISINIKA ambae ameamua kuonyesha kipaji chake dhahiri na kujipima katika muziki na kuonyesha kwa sasa ameiva katika kuweza kufanya muziki na kusema anweza kusimama hata peke yake ndipo alipoamua kutngneza...
.

